Malkia
 wa Uingereza ametimiza miaka 90, hii leo ambapo zimetolewa picha 
mbalimbali za malkia huyo akiwa na vitukuu, wajukuu pamoja na watoto 
wake na wenza wao.
Picha
 hizo zenye mvuto zilizopigwa na Mmarekani Annie Leibovitz, moja wapo 
Malkia yupo na vitukuu vyake huku akiwa amembeba kitukuu chake cha 
mwisho Princess Charlotte.
   Picha ya pamoja ya wanafamilia ya Kifalme wa Uingereza, hapa anakosekana Prince Harry



Hakuna maoni:
Chapisha Maoni