UGIRIKI YAANZA KUWAREJESHA WAHAMIAJI NCHINI UTURIKI

Ugiriki imewarejesha Uturuki wahamiaji chini ya makubaliano ya Umoja wa Ulaya ya kupunguza mzigo wa wahamiaji huku Austria ikitua vikosi katika mpaka wake kuwazuia wahamiaji wanaotaka kuingia Italia.

Boti ya Uturuki imeondoka kisiwa cha Ugiriki cha Lesbos ikiwa na wahamiaji 131 wengi wakiwa wanatoka nchi za Pakistian na Bangladesh.
               Mhamiaji akionyesha dole gumba chini ishara ya kuponda uamuzi wa kurejeshwa Uturuki
                     Wahamiaji wakipanda kwenye boti kubwa tayari kwa kurejeshwa Uturuki
             Zoezi hilo la kuwarejesha wahamiaji lilisimamiwa na ulinzi mkali wa polisi

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni