Mwenyekiti
wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay(CCM), Zefrin Lubuva awakabidhi
mikanda, virungu na makoti ya kujikinga na mvua kwa wanakikundi cha
ulinzi shirikishi cha mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam.
Pia
alizungumza na wananchi wa mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam ili
kujua changamoto za wananchi wa mtaa huo katika nyaza za ulinzi, usalama
na Usafi wa mazingira.
Mwenyekiti
wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay(CCM), Zefrin Lubuva akifafanua jambo
alipokuwa akisoma ripoti ya Mtaa wake katika ulinzi , usalama na usafi
wa mazingira ya mtaa wa Oyster bay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.
Afisa
Mtendaji wa Mtaa wa Oysterbay, Achema Kalembo akisoma taarifa ya mapato
na matumizi ya Mtaa wa Oysterbay mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam
wakati Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay(CCM), Zefrin Lubuva
alipokuwa akizungumza na wanamtaa huo ili kujua changamoto mbalimbali
zinazowakabili wananchi wake.
Baadhi ya wananchi wakichangia maada katika mkutano wa wananchi wa Mtaa wa Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Mwenyekiti
wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay(CCM), Zefrin Lubuva akiwakabidhi
Virungu, Mikanda na Makoti kwa wanakikundi cha ulinzi shirikishi wa mtaa
wa Osyterbay mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mtendaji wa Mtaa wa Oysterbay, Achema Kalembo akizungumza na mwandishi
wetu mara katika mkutano wa wananchi wa mtaa wa Oysterbay walipokuwa
wakizungumza na Mwenyekiti wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay(CCM), Zefrin Lubuva mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Serikali za Mtaa wa Oysterbay(CCM), Zefrin Lubuva akizungumza na
mwandishi wetu mara baada ya kukabidhi mikanda, virungu na makoti
kwaajili ya mvua kwa wanakikundi cha Ulinzi shirikishi wa mtaa wa
Oysterbay jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni