Rais
 Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akimaliza kuweka saini katika 
kitabu cha Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu wa 
Tanzania Hayati Edward Moringe Sokoine kabla ya Ibada maalumu ya 
Kumbukumbu ya kifo hicho katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
 salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
akilakiwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe. Paul Makonda alipowasili
 kuhudhuria Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri 
Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine  katika kanisa la Mtakatifu Joseph 
jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
akilakiwa na Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba  alipowasili kuhudhuria
 Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine  katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
akilakiwa na mtoto Balozi Joseph Moringe Sokoine  alipowasili kuhudhuria
 Ibada maalumu ya Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine  katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 Wajane
 na binti wa   aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine 
 wakiwa katika Ibada Maalumu ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo chake 
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
 2016
 Ibada
 Maalumu ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya kifo chake katika kanisa la 
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na 
Rais Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa wakishiriki katika Ibada ya 
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward 
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam 
Jumanne April 12, 2016
 Sehemu
 ya waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha 
aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la 
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 
 Sehemu ya waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo 
cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la
 Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 
 Viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya 
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward 
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam 
Jumanne April 12, 2016
 
  Viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria katika Ibada ya 
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward 
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam 
Jumanne April 12, 2016
 
  Balozi Joseph Sokoine na viongozoi wa taasisi mbalimbali waliohudhuria
 katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri 
Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph 
jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 
  Sehemu ya watu waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya
 Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika 
kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 
 ya kinamama na watoto wao waliohudhuria katika Ibada ya Kumbukumbu ya 
miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine
 katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 
12, 2016
   Wanakwaya
 katika Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri 
Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph 
jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 Mstaafu Mzee Benjamin William Mkapa akiongea  machache wakati wa Ibada 
ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 
 Msemaaji wa familia akiongea  wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32
 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika 
kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
akiongea  machache wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha
 aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la 
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
 Balozi
 Joseph Sokoine na wageni wengine wakisiliza hotuba  wakati wa Ibada ya 
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward 
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam 
Jumanne April 12, 2016
 Wageni
 wakisikiliza hotuba mbalimbali  wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 
32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine 
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
 2016
 Wageni
 wakisikiliza hotuba mbalimbali  wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 
32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine 
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
 2016
 Wageni
 wakisikiliza hotuba mbalimbali  wakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 
32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine 
katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12,
 2016
 Mzee Kingunge Ngombale Mwiru na mkewe na wageni wengine wakifuatilia yaliyojiri 
Wageni
 wakisikilizawakati wa Ibada ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha 
aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe Sokoine katika kanisa la 
Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne April 12, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akisalimiana na Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 Katibu
 Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba  akiongea wakati wa  Ibada maalumu ya 
Kumbukumbu ya kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward Moringe 
Sokoine  katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam Jumanne 
April 12, 2016
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo akiongea wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na 
Rais Mstafu Mzee Benjamin William Mkapa wakifurahia jambo wakati wa 
hotuba ya Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar es Salaam la kanisa Katoliki, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo na Katibu Mkuu wa TEC Fr. Raymond Saba wakiwapa mikono familia ya Marehemu wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiwapa mikono familia ya Marehemu wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
  Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwapa mikono wajane wa  Marehemu wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli na Rais Mstafu Mzee Benjamin William Mkapa  wakiwapa mikono wajane wa  Marehemu wakati wa Ibada
 ya Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati 
Edward Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es 
salaam Jumanne April 12, 2016
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 
akisi dikizwa na Balozi Joseph Moringe Sokoine baada ya Ibada ya 
Kumbukumbu ya miaka 32 ya Kifo cha aliyekuwa Waziri Mkuu Hayati Edward 
Moringe Sokoine katika kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es salaam 
Jumanne April 12, 2016.
PICHA NA IKULU

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni