Mkuu wa Wilaya Iringa Richard Kasesela akihudhuria misa na baadae mazishi ya Brigedia Jenerali Galinoma yaliyofanyika Iringa.
Askari wa jeshi la wanachi JWTZ wakielekea makaburini
Mkuu wa Wilaya ya Iringa Mhe. Richard Kasesela akiongoza mazishi ya Brigedia Jenerali Galinoma.
familia ya marehemu wakiwemo watoto wakiweka shada .
Mkuu wa Wilaya ya Iringa, Mhe. Richard Kasesela akitoa heshima zake za mwisho kwa marehemu Brigedia Jenerali Galinoma.
Mazishi yakiendelea.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni