Mamlaka za nchini Mali zimesema zimemkamata
mwanaume mmoja raia wa Mauritanian anayetuhumiwa kuratibu
mashambulizi mabaya kwenye hoteli za nchi hiyo mwaka jana.
Mtuhumiwa huyo Fawaz Ould Ahmeida anatuhumiwa
kupanga pamoja na mambo mengine shambulizi la Novemba kwenye hoteli
ya Radisson Blu katika Jiji la Bamako na kuuwa watu 20.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni