Mtafiti
 wa Magonjwa mbalimbali Dkt Ahmed Kalebi akizungumza na madaktari na 
wauguzi wa Hosptali ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi  wakati 
wa warsha juu ya matumizi ya maabara ya kisasa iliyofunguliwa mjini 
Moshi kwa ajili ya kufanya vipimo vya magonjwa mbalimbali.
Baadhi
 ya Madaktari na wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa 
Kilimanjaro ya Mawenzi wakifuatilia maelezo yaliyokuwa yakitolewa na Dkt
 Ahemd Kalebi wakati wa warsha hiyo iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa 
ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Kilimanjaro.
Dkt
 Kalebi akisisitiza jambo wakati akizungumzia juu ya ufanyaji wa vipimo 
kwa magonjwa kama saratani na magonjwa mengine ambayo wagonjwa wengi 
wamekuwa na tabia ya kwenda kutafuta matibabu nje ya nchi. 
Baadhi ya Madaktari na Wauguzi katika Hospitari ya Rufaa ya mkoa wa Kilimanjaro ya Mawenzi wakiwa katika Warsha hiyo. 





 
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni