Jaji nchini China ametoa uamuzi kuwa
wanandoa mashoga hawawezi kuandikishwa ndoa yao, katika kesi ya
kwanza ya aina hiyo nchini humo.
Mashoga hao Sun Wenlin na Hu
Mingliang walifungua shitaka dhidi ya mamlaka za mji wa Changsha
baada ombi lao la kuandikisha ndoa yao kukataliwa.
Mwezi Januari mahakama ya wilaya
ilikubali kusikiliza kesi hiyo ya kwanza kwa aina hiyo nchini humo.
Watu wapatao 300 walijitokeza mahakamani kuwaunga mkono wanandoa hao mashoga
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni