Majivu ya mwili wa mwanamuziki nyota
Prince ulichukuliwa ukiwa umebebwa kwenye chombo kilichofunikwa na
koti jeusi na kuingizwa kweye gari punde tu baada ya kuchomwa moto.
Prince ambaye ni muumini wa dhehebu
la dini ya Mashahidi wa Yehova aliacha wosia mwili wake kuchomwa na
kufanyiwa maziko ya siri na ya kawaida yaliyogharimu dola 1,600.
Majivu ya Mwili wa Prince yakiingizwa kwenye gari huku dada wa marehemu Tyka Nelson akishuhudia
Dada wa marehemu Prince, Tyka Nelson, akiwa na majonzi mazito
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni