RAIS DKT. JOHN POMBE MAGUFULI APOKEA HATI ZA UTAMBULISHO WA MABALOZI KUTOKA NCHI MBALIMBALI IKULU JIJINI DAR ES SALAAM.
posted on 
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea 
Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech
 hapa nchini  Pavel Rezac, tukio hilo lilifanyika Ikulu jijini Dar es 
Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akisalimiana na Balozi mteule kutoka nchi ya  Jamhuri ya Sudani Kusini 
Mariano Deng Ngor aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za 
utambulisho.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipokea 
Hati ya Utambulisho kutoka kwa Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini 
Carlos Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
 na Balozi Mteule wa Tanzania nchini Kuwait Mahadhi  Juma Maalim Ikulu 
jijini Dar es Salaam. Balozi Mahadhi alifika Ikulu kwa ajili ya kuagana 
na Mhe. Rais kwa ajili ya kwenda kuanza kazi yake hiyo rasmi nchini 
Kuwait.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli 
akimkaribisha Ikulu jijini Dar es Salaam Balozi Mteule wa nchi ya  
Jamhuri ya Czech hapa nchini  Pavel Rezac.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
 na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Czech hapa nchini  Pavel Rezac 
mara baada ya kukabidhi hati zake za utambulisho Ikulu jijini Dar es 
Salaam.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
 na Balozi Mteule wa nchi ya Jamhuri ya Sudani Kusini Mariano Deng Ngor 
aliyefika Ikulu kwa ajili ya kuwasilisha hati yake za utambulisho.
Rais
 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza
 na Balozi Mteule wa Brazil hapa nchini Carlos Alfonso Iglesias Ikulu 
jijini Dar es Salaam.
Kaimu
 Mnikulu Ngusa Samike kulia akimkaribisha Balozi Mteule wa Brazil Carlos
 Alfonso Iglesias Ikulu jijini Dar es Salaam katikati ni Kaimu Mkuu wa 
Itifaki James Mbwana kutoka Wizara ya Mambo ya Nje Ushirikiano wa Afrika
 Mashariki, kikanda na Kimataifa. PICHA NA IKULU
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni