Kamanda wa Polisi Mkoa wa Kusini Pemba Shehan Mohammed Shwhan
akizungumza wakati wa Ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi
Mhe Hamad Yussuf Masauni, akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba
kujitambulisha na kuangalia utendaji wa Jeshi huilo Kisiwani Pemba.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani akizungumza na waandishi wa habari wakati wa
ziara yake kisiwani Pemba ikiwa ni kujitambulisha kwa Makamanda wa
Polisi kisiwani humo na kupata taarifa za utendaji wa kazi zao za kila
siku.
Kamishna
wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makari akijibu na kutoa ufafanuzi wa
maswali yaliolizwa wakati wa ziara ya Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani
Kisiwani Pemba.
Askari
wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kusini Pemba wakimsikiliza Naibu Waziri wa
Mambo ya Ndani Mhe Hamad Yussuf Masauni akizungumza na wapiganaji hao
wakati wa ziara yakew mkoa wa Kusini Pemba kujitambulisha na kupata
utendaji wa kazi za Jeshi la Polisi Pemba.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni