Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (katikati)akishiriki katika swala ya magharibi iliyoswalishwa na
Sheikh Jamal Mohammed Abeid kabla ya futari iliyotayarisha kwa Wananchi
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba jana jioni katika viwanja vya Ikulu ya Wete
Pemba
Waislamu
wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika
swala ya jamaa ya Magharibi katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kabla
ya kushirikikatika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein kwa
wananchi hao
Waislamu
na Waislamu wa Vijiji mbali mbali katika Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa
katika futari iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu
ya Wete Pemba

ya Wete Pemba,
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein (wa pili kulia) akiwa na Viongozi katika futari aliyowaandalia
wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba iliyofanyika katika viwanja vya
Ikulu ya Wete Pemba.
Akinamama
wa Vijiji tofauti vya Mkoa wa Kaskazini Pemba wakiwa katika futari
iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu ya Wete Pemba kwa
wananchi hao
Mke
wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein (katikati) Mkuu wa Mkoa wa
Kusini Pemba Mwanajuma Majid na Bi Mauwa Daftari wakiwa katika futari
iliyofanyika katika Ikulu ya Wete Pemba ambayo imetayarishwa kwa
wananchi wa Mkoa wa kaskazini Pemba,
Mkuu
wa Mkoa wa Kaskazini Pemba Omar Khamis Othman alipokuwa akitoa neno la
Shukurani kwa niaba ya wananchi wa Mkoa huo baada ya futari ya pamoja
iliyotayarishwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Wete
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein(kushoto) akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya
futari ya pamoja aliyoitayarisha katika viwanja vya Ikulu Wete
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja aliyoitayarisha leo katika viwanja vya Ikulu Wete
Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein akiagana
na Wananchi wa Mkoa wa Kaskazini Pemba baada ya futari ya pamoja
aliyoitayarisha leo katika viwanja vya Ikulu Wete. Picha na Ikulu, ZNZ
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni