Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwasili katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza kwa ajili ya shughuli ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa Ndani. |
Baadhi ya Waaandishi wa Habari waliofika kwa ajili ya shughuli hiyo ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani. |
Baadhi ya wafanyakazi wa Shirika la Hifadhi za Taifa wakiwa katika hafla ya uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani. |
Kikundi cha Ngoma cha Bujorwa kikitoa burudani kwa wageni waalikwa. |
Wacheza ngoma wa kikundi cha Bujorwa cha jijini Mwanza wakitoa burudani mbele ya mgeni rasmi ,Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu wakati wa uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa Ndani. |
Mkurugenzi wa Idara ya Utalii wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,Tanzania (TANAPA) Ibrahim Musa akizungumza wakati wa hafla hiyo iliyofanyika katika viwanja vya Yatch club. |
Baadhi ya wanahabari wakifuatilia matukio katika hafla hiyo. |
Kaimu Mkurugenzi Mwendeshaji wa Bodi ya Utalii,Tanzania ,Devotha Mdachi akizungumza katika hafla hiyo. |
Baadhi ya Wahariri na waandishi wa habari waliofika katika hafla hiyo. |
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Hifadhi za Taifa ,Tanzania TANAPA,Allan Kijazi akizungumza wakati wa uzinduzi wa kampeni hiyo. |
Katibu Tawala mkoa wa Mwanza ,Dkt Faisal Issa akizungumza kwa niaba ya mkuu wa mkoa wa Mwanza ,Magesa Mulongo wakati waa uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa Ndani. |
Waziri wa Maliasili na Utalii,Lazaro Nyalandu akizungumza wakati wa Uzinduzi wa kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani uliofanyika katika viwanja vya Yatch Club jijini Mwanza |
Mgeni Rasmi katika Hafla hiyo ,Waziri Nyalandu akiwa na wanafunzi wa vyuo vikuu viliyoko jijini Mwanza. |
Waziri Nyalandu akikata Utepe kuashiria Uzinduzi rasmi wa kampeni y a kutangaza Utalii wa ndani,kulia kwake ni Mkurugenzi mkuu wa TANAPA ,Allan Kijazi. |
Waziri wa Maliasli na Utalii,Lazaro Nyalandu akiwa na Mkurugenzi mkuu wa TANAPA ,mara baada ya kuzndua kampeni ya kutangaza Utalii wa ndani. |
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni