MGOMBEA MWEZA SAMIA AKIENDELEA NA KAMPENI JIMBO LA TEMEKE DSM

 Mgombea Mwenza wa Urais kwa timeti ya CCM, Mama Samia suluhu Hassam akihutubia umati wa wananchi katika mkutano wa kampeni aliofanya jana, Septemba 3, 2015 katika Kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).

2. Mgombea mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia akishangiliwa na wananchi baada ya kuwasili kwenye mkutano wa kampeni uliofanyika kwenye kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani Dar es Salaam, Septemba 3, 2015. (Picha na Bashir Nkoromo).
 Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhai Madabida akimkaribisha mgombea Mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia, kuhutubia mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Buza, jimbo la Temeke katika mkoa huo.
 Mgombea ubunge wa Temeke Abbas Mtemvu akiomba kura baada ya kunadiwa na Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM,Mama Samia katika mkutano wa kampeni uliofanyika Kata ya Buza katika jimbo hilo, septemba 3, 2015.
 Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia Suluhu Hassan akimwelekeza jambo mgombea Ubunge jimbo la Temeke Abass Mtemvu wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika kata ya Buza katika jimbo hilo, septemba 3,2015.
 Shamrashamra za wananchi waliohudhuria mkutano wa kampeni za mgombea mwenza wa urais kwa tiketi ya CCM katika kata ya Buza jimbo la Temeke.
Mgombea Mwenza wa Urais kwa tiketi ya CCM, Mama Samia akiwatuza vijana wakundi la Fataki, baada ya kutumbuiza kwa ngonjera zao wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika kata ya Buza jimbo la Temeke mkoani dar es Salaam

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni