Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akiwa na aliyekuwa Mwakilishi wa Jimbo la Rahaleo kwa sasa ni mgombea
Uwakilishi Jimbo la Kikwajuni Mhe Nassor Salim Jazira akiwa katika ziara
hiyo ya Mhe Waziri Zanzibar
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani na Mbunge wa Kikwajuni Mhe. Eng Hamad Yussuf
Masauni akimsikiliza Mbunge wa Jimbo la Jangombe Ali Hassan Omar King
wakiwa katika ziara hiyo kutembelea miradi ya Muungano ya Tabia Nchi
Zanzibar.
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe. Luhaga Mpina
akimsikiliza Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais
Zanzibar Ndg Juma Bakari Alawi akitowa maelezo jinsi eneo hilo la
kilimani lililoathirika na Tabia Nchi Zanzibar likiwa chini ya mradi wa
Kujenga Uwezo wa Jamii Kuhimili Mabadiliko Tabia Nchi (LDCDF)kilimani
kwa Upandaji wa Mikoko na Uwekaji wa Matuta kuzuiya Mmomonyoko wa Ardhi
katika Ukanda wa Bahari.
Eneo ambalo limekumbwa na Tabia nchi katika kilimani likiwa limejaa maji ya pwani
Naibu
Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais, Muungano na Mazingira Mhe Luhaga Mpina
akiwa katika ziara yake ya kutembelea miradi ya kuhifadhi mazingira
Zanzibar akitembelea moja ya mradi huo ulioko kilimani Zanzibar kujionea
jinsi ya hali ya uharabifu wa Tabia Nchi katika eneo hilo
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni