Lady
in Red iliyofanyika siku ya Jumamosi Februari 13, 2016 jijini London,
uingereza maalum kwa siku ya wapendanao iliyoandaliwa na ClubMalibu na
kufanywa na mama nguli wa mitindo Asya Idarous Khamsini huku ikinogeshwa
na msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko.
Mlimbwende
akipita mbele ya mashabiki wa mitindo jijini London kwenye onesho la
Lady in Red ililofanywa na mama mitindo nguli Asya Idarous Khamsini
mwenye maskani yake mji wa Houston jimbo la Texas, Onesho hilo
lililohudhuriwa na mashabiki wa mitindo jijini London lilinogeshwa na
msanii wa Bongo Flava Rich Mavoko.
Walimbwende wakipita mbele ya mashabiki wa mitindo.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni