Wanajeshi watatu wa Mali wamekufa
baada ya gari walilokuwa wakisafiria kukanyaga bomu la aridhini
katika mkoa wa kati wa Mopti.
Wanajeshi wawili wengine
wamejeruhiwa na kukimbizwa hospitali, taarifa ya wizara ya ulinzi ya
nchi hiyo imesema.
Nchi ya Mali imekuwa ikitishiwa na
makundi mbalimbali yenye silaha na imekuwa ikipigaa na waasi wenye
itikadi kali za Kiislam kaskazini kwa miaka kadhaa.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni