Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akifuatana na Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu
(kulia) na Jiji Mkuu Tanzania Mohammmed Chande Othman wakati
alipowasili viwanja vya Victoria Garden katika sherehe za kilele cha
siku ya sheria Zanzibar.
Kikundi
cha sanaa na maigizo cha Blackroot walipotoa igizo lao leo katika
sherehe za kilele cha siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika
viwanja vya Victoria Garden Mjini Unguja mbele ya mgeni rasmi Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein.
Mwanasheria
Mkuu zanzibar Said Hassan Saidi akitoa maelezo mafupi na kumkaribisha
jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu wakati wa sherehe za kilele
cha siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika leo katika viwanja vya
Victoria Garden Mjini Unguja.
Jaji Mkuu
wa Zanzibar Omar Othman Makungu akitoa hutuba yake wakati wa sherehe za
kilele cha siku ya sheria Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
kuzungumza na wananchi katika sherehe za siku hii ya sheria.
Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akionesha kitabu cha Sheria ya mwaka Zanzibar (ZANZIBAR YEARBOOKOF LAW)
Volume 4 baada ya kukizindua rasmi leo katika sherehe za kilele cha
siku ya sheria Zanzibar katika viwanja vya Victoria Garden Mjini
Unguja,(kulia)Jaji Mkuu wa Zanzibar Omar Othman Makungu,(kushoto) naibu
Spika wa Baraza la Wawakilishi Ali Abdalla,Makamo wa Pili wa Rais wa
Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi na Jaji Mkuu wa Tanzania Mohammed Othman
Chande.
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni