Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector
Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na
kuendesha mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika
ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector
Foundation Dkt. Reginald Mengi muda mfupi kabla ya kufungua na kuendesha
mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
Katibu Mtendaji wa Baraaa la Biashara la Tanzania (TNBC) Bw. Raymond Mbilinyi akiongelea juu ya mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015
Washiriki
wa mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi
wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015

Washiriki wa mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC)
katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2,
2015

Katibu
Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akisoma muhtasari wa mkutano wa nane
wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu
jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015.
Katibu
Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka akisoma hotuba kabla ya
kumkaribisha Rais Kikwete Kufungua mkutano wa nane wa Baraza la
Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar
es salaam leo Septemba 2, 2015.
Rais
Kikwete akifungua rasmi mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania
(TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo
Septemba 2, 2015.

Rais Kikwete akiongoza mkutano wa nane wa Baraza la Biashara Tanzania (TNBC) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine toka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Dkt Abdulhamid Yahaya Mzee, Karibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald Mengi
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na baadhi ya washiriki katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine
toka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Dkt Abdulhamid Yahaya
Mzee, Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald
Mengi Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Karibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka,

Rais Kikwete katika picha ya pamoja na secretariate ya TNBC katika
ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015.
Wengine toka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Dkt Abdulhamid
Yahaya Mzee, Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt.
Reginald Mengi Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Karibu Mkuu
Ofisi ya Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka,
Rais
Kikwete katika picha ya pamoja na watumishi wa TNBC katika ukumbi wa
mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam leo Septemba 2, 2015. Wengine
toka kulia ni Katibu Mkuu Kiongozi wa Zanzibar Dkt Abdulhamid Yahaya
Mzee, Mwenyekiti wa Tanzania Private Sector Foundation Dkt. Reginald
Mengi Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue na Karibu Mkuu Ofisi ya
Waziri Mkuu Mhe Florens Turuka,
PICHA ZOTE NA IKULU
PICHA ZOTE NA IKULU
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni