Mjumbe
wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akishiriki na baadhi ya wajumbe wa
CCM kusimama na kuomboleza kifo cha aliyekuwa Mbunge wa Ulanga
Mashariki, marehemu Celina Kombani, wakati wajumbe hao walipokutana kwa
dharula jijini Dar es Salaam, jana Okt 10, 2015.
Mjumbe
waKamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,
Dkt. Mohammed Gharib Bilal (kulia) akiongozana na Katibu Mkuu wa CCM,
Abrahman Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim
(katikati) wakati wakitoka ukumbini baada ya kumalizika kwa kikao cha
dharula cha CCM kwenye Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini Dar es
Salaam, jana Okt 10, 2015.
Mjumbe
wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Katibu Mkuu wa CCM, Abrahman
Kinana (kushoto) na Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim (katikati)
wakifurahia jambo nje ya ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba, baada ya
kumalizika Kikao cha dharula.
Mjumbe
wa Kamati Kuu CCM, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, (kulia) akiagana na Katibu Mkuu wa
CCM, Abrahman Kinana, nje ya Ukumbi wa CCM Makao Makuu Lumumba jijini
Dar es Salaam, baada ya kumalizika kwa Kikao cha dharula jana Okt. 10,
2015. Katikati ni Mjumbe wa Kamati Kuu, Salim Ahmed Salim. Picha na OMR
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni