Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe
Magufuli pamoja na mgombea ubunge wa jimbo la Same Mashariki Mama Anne
Kilango wakiwasalimu wakazi wa Same waliojitokeza kwenye mkutano wa
kampeni za CCM Ndungu.PICHA NA Manyara leo blog-KILIMANJARO.
Wakazi wa Same Mashariki wakimsikiliza Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe
Magufuli akimvalisha fulana mmoja wa wafuasi wa CHADEMA alieamua kurejea
chama cha CCM jioni ya leo kwenye mkutano wa hadhara wa kampeni ndani
ya jimbo la Same Mashariki
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe
Magufuli akiwahutubia wakazi wa Ndungu kweye mkutano wa kampeni Same
Mashariki,jioni ya leo.
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli akiwa sambamba na Mgombea Ubunge wa
jimbo la Vunjo,Innocent Shirima wakiwapungia wananchi walipokuwa
wakiwasili kwenye mkutano wa kampeni mjini himo.
Wakazi wa Himo wakifuatilia mkutano wa kampeni wa Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe
Magufuli akimnadi mgombea ubunge jimbo la Vunjo kupitia CCM Innocent
Shirima.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe
Magufuli akimnadi mgombea ubunge wa jimbo la Mwanga Profesa Jumanne
Maghembe kwenye mkutano wa kampeni za CCM zilizofanyika Mwanga.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dk. John Pombe
Magufuli akihutubia wakazi wa Same Magharibi kwenye uwanja wa Kwasakwasa
ambapo aliwaambia wananchi hao kuwa katika uongozi wake atahakikisha
kodi ndogo ndogo zinaondolewa kwa wafanyabiashara wadogo.
wakazi wa Same Magharibi wakishangilia mara baada ya kumsikiliza
Mgombea Urais wa CCM Dkt Magufuli kwenye uwanja wa Kwasakwasa ambapo
aliwaambia wananchi hao kuwa katika uongozi wake atahakikisha kodi ndogo
ndogo zinaondolewa kwa wafanyabiashara wadogo.
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM)
Dk. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mwenyekiti wa chama cha Tanzania
Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema mara baada ya
kukutana njia panda ya Himo.
Mwenyekiti wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) Ndugu Augustino Lyatonga Mrema akizungumza mbele ya mgombea wa urais kupitia CCM na kuwataka wananchi wa Vunjo kumpigia kura mgombea wa urais wa CCM Dk. John Pombe Magufuli kwani ni rafiki wa kweli kwa maendeleo ya Tanzania.

Hakuna maoni:
Chapisha Maoni