Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akiwa ameambatana na Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema,
wakiwasili kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD,
kulikofanyika Mkutano wa Kampeni, Oktoba 8, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akihutubiwa wananchi, wakati wa Mkutano wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD,
Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli
wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa akimnadi kwa wananchi Mgombea Ubunge wa
Jimbo la Arusha Mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Mh. Godbress Lema, wakati
wa Mkutano wa Kampeni uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA,
Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni,
Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mwanasiasa
Mkongwe Nchini, Mzee Kingunge Ngomale Mwiru, akiwahutubia wananchi wa
Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania
kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Freeman
Mbowe, akiwahutubia wananchi wa Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa
Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania kwa Chama cha Demokrasia na
Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa,
uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Sinoni, Unga LTD, Jijini
Arusha Oktoba 8, 2015.
Mwenyekiti
wa Chama cha NCCR-Mageuzi, Mh. James Mbatia, akiwahutubia wananchi wa
Mji wa Arusha wakati wa Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Tanzania
kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi
Sinoni, Unga LTD, Jijini Arusha Oktoba 8, 2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni