Mgombea
Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia mwamvuli wa
UKAWA, Mh. Edward Lowassa na Mwenyekiti wa Chadema Mkoa wa Mara na
Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini, Vicent Nyerere, wakiwasili
kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara .
Mwenyekiti
wa Chadema Mkoa wa Mara na Mgombea Ubunge wa Jimbo la Musoma Mjini,
Vicent Nyerere, akihutubia wananchi katika Mkutano wa hadhara wa
Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini,
Mkoani Mara .
Waziri
Mkuu wa Zamani, Mh. Fredrick Sumaye, akiwahutubia wananchi wa Mji wa
Musoma waliokuwa wamefurika kwa wingi kwenye Uwanja wa Mkendo, Jimbo la
Musoma Mjini, Mkoani Mara.
Mgombea Urais wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kupitia
mwamvuli wa UKAWA, Mh. Edward Lowassa, akiwahutubia wananchi wa Musoma
katika Mkutano wa hadhara wa Kampeni, uliofanyika kwenye Uwanja wa
Mkendo, Jimbo la Musoma Mjini, Mkoani Mara Oktoba 11, 2015.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni