Dr.
Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa
serikali akiwa na Magavana wa Benki ya Dunia na Shirika la fedha la
kimataifa wa Mashariki na Kusini mwa Afrika kwenye majadiliano ya
kukuzauchumi katika mkutano wa MEFMI. Aliyesimama mbele ni Bi. Arunma
Oteh Makamu wa Rais na Mweka hazina.
Kutoka
kushoto ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali Dr.
Servacius Likwelile akiwa katika mkutano wa kamati ya maendeleo
akifuatilia kwa makini majadiliano yanayoendelea katika mikutano hiyo
yabenki ya dunia.
Ujumbe
kutoka Tanzania ukimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji
Mkuu wa serikali Dr. Servacius Likwelile katika ofisi ya Tanzania nchini
Peru- Lima
Dr.
Servacius Likwelile Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa
serikali na ujumbe kutoka Tanzania wakiwa katika majadiliano na
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Dunia wa kundi namba 1 Afrika Bw. Louis
Rene Peter Larose anayezungumza katika mikutano ya mwaka ya Benki ya
dunia.
Wapili
kutoka kulia ni Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mlipaji Mkuu wa serikali
Dr. Sirvacius Likwelile akisikilizwa kwa makini na Balozi wa Tanzania
nchini Marekani Bw. Wilson Masilingi wa pili kutoka kushoto na Bw. Said
Magonya wa kwanza kulia ambaye ni Kamishna wa Fedha za Nje Wizara ya
Fedha na Bw. Bedason Shallanda wa kwanza kushoto ambaye ni Kamishna wa
Sera Wizara ya Fedha.
(Picha zote na Ingiahedi Mduma na Eva Valerian, Peru – Lima).
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni