Mjumbe
wa Kamti kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akihutubia mkutano
wa kampeni za CCM kuwanadi mgombea urais, wabunge na madiwani katika
kijiji cha Kabwe wilayani Nkansi Oktoba 8, 2015.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM na Waziri Muu, Mizengo Pinda akimnadi mgombea
ubunge wa Jimbo la Nkansi Kaskazini, Ally Kessy Mabodi katika mkutano wa
kampeni za CCM aliouhutubia katika kijiji ch Kalungu wilayani Nkansi
Oktoba 8, 2015.
Baadhi
ya washiriki wa Mkutano wa Kampeni za CCM uliohutubiwa na Mjumbe wa
Kamti Kuu ya CCM na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda katika kijiji cha
Kalungu wilayani Nkansi wakishangilia wakati alipowanadi mgombea urais,
wbunge na madiwani Oktoba 8, 2015. (Pichana Ofisi ya Waziri Mkuu)
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni