KARIBU KIOTA CHA MARAHA CET EXECUTIVE LODGE, NGULELO KWA MREFU - ARUSHA

 Karibu CET Executive Lodge iliyopo Ngulelo - Kwa Mrefu, Arusha yenye muonekano wa kuvutia na kumfanya mteja anayefika mahali hapo kufurahia huduma zinazotolewa. Picha zinaonyesha muonekano wa CET Executive Lodge ikiwemo vyumba vya kisasa, sehemu ya bar na jiko. Unaweza kuwasiliana nao masaa 24/7 namba +255 742 120 992
Muonekano wa vyumba vya kisasa vyenye kiyoyozi muda wote na vitanda vya kuvutia. Vyumba vyao ni Self Container... Asubuhi mteja anapatiwa Chai (Breakfast).
 Vyoo vya kisasa vinavyoendana na ubora kulingana na chaguo la mteja.
TV ya kisasa yenye Chanel za Movie na mpira.
 Unapochagua vyumba unachangua na rangi unayoipenda....
 Milango na madirisha ya kisasa.
 Sehemu ya bar ya nje... yenye muonekano wa kisasa na kupatikana vinywaji aina zote na vyakula vya kiafrika.
 Kwa wale wasiotenda kujichanganya na wengine mahali hapa panawafaa.
Geti la kisasa la kuvutia.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni