Mgombea
mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akihutubia wananchi kwenye mkutano
wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi Chang’ombe mkoani Dodoma.
Wakazi
wa Dodoma wakimsikiliza mgombea mwenza wa urais Chadema anayeungwa
mkono na Ukawa akizungumza katika mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya
Shule ya Msingi Chang’ombe.
Waendesha
Bodaboda wakimsindikiza mgombea mwenza wa urais, Juma Duni Haji wakati
alipomaliza kuhutubia wakazi wa Dodoma katika Viwanja vya Shule ya
Msingi Chang’ombe.
Kikundi
cha ngoma cha Moto Kali kutoka Ibiwa wakicheza ngoma ya kumkaribisha
mgombea mwenza wa urais wa Chadma Juma Duni Haji kwenye mkutano wa
kampeni kwenye Viwanja vya Kongogo mkoani Dodoma.
Mgombea
mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akimnadi kwa wananchi wa Bahi mgombea
wa Ubunge Jimbo la Bahi, Mathias Lyamundu kwenye mkutano wa kampeni
kwenye Viwanja vya Kongogo mkoani Dodoma.
Mgombea
mwenza wa Chadema, Juma Duni Haji akimnadi mgombea wa Ubunge Jimbo la
Dodoma Mjini, Benson Kigaila kwenye mkutano wa kampeni kwenye Viwanja
vya Shule ya Msingi Chang’ombe mkoani Dodoma.
Aliyekuwa
mbunge wa Mkanyageni Zanzibar, Habibu Mohamed Mnyaa akihutubia
wananchi kwenye mkutano wa kampeni kwenye Viwanja vya Shule ya Msingi
Chang’ombe mkoani Dodoma.
Wakazi wa mjini Dodoma wakifuatilia mkutano huo.
Wazee katika mkutano.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni