Home
News
Lifestyle
Fashion
Nature
Health
Travel
About
Conact
Habari
Kitaifa
NHIF YAZINDUA KITUO CHA MAWASILIANO NA HUDUMA KWA WATEJA KUPITIA SIMU ZA MKONONI
posted on
07:08:00
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akizungumza na vyombo vya habari wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano na Huduma Kwa Wateja (Call center) ambacho kitahusika na kupokea na kujibu hoja za wadau mbalimbali zitakazowasilishwa katika Mfuko kupitia Namba ya simu 0800 110063, barua pepe info@nhif.or.tz
na mawasiliano kwa njia ya mtandao (Mitandao ya kijamii na simu za mkononi), uliofanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo, jijini Dar es salaam.Picha na Michuzi Blog
Mkurugenzi wa Masoko na Utafiti Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Rehani Athumani (kushoto) akifafanua jambo kwa waandishi wa habari, wakati wa uzinduzi wa Kituo cha Mawasiliano na Huduma Kwa Wateja (Call center) ya NHIF, uliofanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo, jijini Dar es salaam.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando (kushoto) akimuangalia Ofisa Uanachama wa Kituo cha Mawasiliani ya Huduma kwa wateja, Eva Mkwizu wakati akiwasiliana na wateja wa njia ya simu. Katikati ni Mkurugenzi wa Utawala wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Beatus Chijumba
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando akionyesha kipeperushi chenye namba ya mawasiliano ya moja kwa moja na kituo hicho.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF), Michael Mhando (kulia) na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya SoftNet Tech, Nuru Yakub Othman wakishirikiana kuzindua rasmi Kituo cha Mawasiliano na Huduma Kwa Wateja (Call center) cha Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya, uliofanyika leo kwenye makao makuu ya Mfuko huo, jijini Dar es salaam.
Baadhi ya Maofisa Uanachama wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya wakiendelea kutoa huduma katika kituo hicho.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni
Chapisho Jipya
Taarifa za zamani
Nyumbani
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
About us
Twitter
Facebook
GooglePlus
Pinterest
Linkedin
Instagram
Youtube
Github
Vimeo
Dribbble
Tumblr
Stumbleupon
Delicious
Reddit
Contact
RSS
Popular Posts
TENGERU CDTI YAONGEZA UDAHILI
Na Ahemd Mahmoud Katika juhudi za serikali za kuimarisha mazingira ya ujifunzaji wanafunzi wa kike hapa nchini,Taasisi ya maendeleo ya jami...
MAMA SALMA KIKWETE ASHIRIKI KWENYE MAZISHI YA MDHAMINI WA TAASISI YA WAMA MAREHEMU HULDA KIBACHA
Mke wa Rais na Mwenyekiti wa Taasisi ya Wanawake na Maendeleo (WAMA), Mama Salma Kikwete akipokewa na Mama Zakhia Meghji, Makamu Mwen...
SERIKALI YASAINI MKATABA WA UNUNUZI WA MAGARI NA KAMPUNI YA ASHOK LEYLAND KWA VYOMBO VYA ULINZI NA USALAMA, JIJINI DAR
Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Job Masima (kulia), Makamu wa Rais wa Kampuni ya Kutengeneza Magari ya ASHOK L...
VIJANA WATAKIWA KUTUMIA FURSA ZILIZOPO KUJIAJIRI
Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi, Dk Leornad Akwilapo amewataka vijana kutafuta ajira sehemu m...
T.I.B YAKUBALI KUTOA FEDHA UJENZI WA HOSPITALI ARUSHA
Na Mahmoud Ahmad Arusha ……………………………………… BENKI ya uwekezaji nchini TIB, imek...
DAWASCO YABAINI WIZI WA MAJI KIWANDA CHA BAHARI CHEMICALS LTD
Moja ya kisima kinachodaiwa kutumika kuhifadhi maji yanayodaiwa kuibwa kutoka katika mtandao wa maji wa Dawasco. Madumu ya Maji ...
RAIS DONALD TRUMP AMPIGIA SIMU RAIS UHURU KENYATTA
Rais Donald Trump amempigia simu rais Uhuru Kenyatta wa Kenya ikiwa ni simu yake ya nne kupiga kwa kiongozi wa taifa la Afrika tangu ain...
SHAMBA LA WAZIRI MKUU MSTAAFU LAFUTIWA HATI YA UMILIKI WAKE NA KURUDISHWA MANISPAA.
HATIMAYE shamba lililokuwa linamilikiwa na Waziri Mkuu mstaafu, Frederick Sumaye, lililopo Mabwepande limefutiwa hati zake na u...
WATANGAZAJI WA MICHEZO WATAKIWA KUZINGATIA MAADILI
Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Michezo, Yusuph Omari akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo na Warsha ya Wanahabari za michezo ...
MAMA SAMIA NA DK. SHEIN WAFUNGA KAZI MKUTAO WA KUFUNGA KAMPENI ZA CCM ZANZIBAR
Maelfu ya wananchi wakiwa wamefurika kwenye Viwanja vya Kibandamaiti, wakati wa mkutano wa kufunga kampeni za CCM, uliofanyika leo ...
Social Share Icons
19,701
9,297
4,182
2,157
1,052
Archives
►
2022
(10)
►
Novemba
(5)
►
Aprili
(2)
►
Machi
(1)
►
Februari
(2)
►
2021
(1)
►
Julai
(1)
►
2018
(499)
►
Novemba
(2)
►
Septemba
(29)
►
Agosti
(83)
►
Julai
(11)
►
Juni
(121)
►
Mei
(79)
►
Aprili
(81)
►
Machi
(54)
►
Februari
(14)
►
Januari
(25)
►
2017
(461)
►
Novemba
(31)
►
Oktoba
(28)
►
Septemba
(24)
►
Agosti
(10)
►
Julai
(9)
►
Juni
(45)
►
Mei
(54)
►
Aprili
(31)
►
Machi
(73)
►
Februari
(112)
►
Januari
(44)
►
2016
(1558)
►
Desemba
(63)
►
Novemba
(232)
►
Oktoba
(200)
►
Septemba
(142)
►
Agosti
(109)
►
Julai
(130)
►
Juni
(113)
►
Mei
(83)
►
Aprili
(102)
►
Machi
(117)
►
Februari
(212)
►
Januari
(55)
▼
2015
(1044)
▼
Desemba
(177)
MAADHIMISHO YA SIKUKUU YA MAULID DAR
WATOTO WA WAHADHIRI WA UDSM WAJUMUIKA PAMOJA KWENY...
WACHIMBAJI WADOGO KUANDAMANA
LUCIAN NA FABIAN JOSEPH WATAMBA ARUSHA TOURISM MAR...
MUUAJI WA AFISA WA INTELIJENSIA WA TANAPA AKAMATWA
WAZIRI MBARAWA AANZA KAZI RASMI WIZARA YA UJENZI, ...
AZAM FC YAILAMBA KAGERA SUGAR 2-0
WADAU WA "KUPATANA.COM" WAUAGA MWAKA KWA KUKUTANA ...
RAIS JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI AWAAPISHA MAWAZIRI...
VIONGOZI WA SERIKALI ZA VIJIJI WAFURAHIA MAFUNZO Y...
WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII PROF. JUMANNE MAGHEM...
WAZEE WAMUANGUKIA MAGUFULI
HERI YA MWAKA MPYA WADAU WA MANYARA LEO BLOG
WALIOWAUWA WATALII WAWILI WA UINGEREZA WAHUKUMIWA ...
DK. SHEIN AJUMUIKA NA WAISLAMU KATIKA MAADHIMISHO ...
BENDI YA FM ACADEMIA YAWAPAGAWISHA WAKAZI WA MKOA ...
Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania John Magu...
TTCL Yazinduwa Teknolojia ya 4G LTE
Wanafunzi wa shule msingi International School of ...
NSSF KUKABIDHI DARAJA LA KIGAMBONI JANUARI 2016
WAZIRI KITWANGA ATEMBELEA UHAMIAJI, ATANGAZA OPERE...
AKINA MAMA NA VIJANA NI NGUZO KUBWA YA KULETA MABA...
Raia Waamirifu wilayani Kahama Wakerwa na Utoro
HOSPITALI YA MOUNT MERU INAKABILIWA NA UPUNGUFU WA...
SERIKALI MKOANI HAPA YAFUTA LIKIZO ZA WATUMISHI WAKE
MTUHUMIWA WA MAUAJI YA MFANYAKAZI WA TANAPA AKAMATWA
WAKAZI WA CHUNYA WATAKIWA KUTUNZA MIUNDOMBINU.
Wafanyakazi wa TBL Mbeya walivyopokea kombe la tuz...
Tutachukua hatua kali kwa wanaoghushi malipo- NHIF
VITUO VYA KULELEA WATOTO YATIMA VITAZAMWE UPYA, SE...
MAHAFALI YA 14 YA CHUO KIKUU MZUMBE KAMPASI YA MBE...
KATIBU MKUU WIZARA YA AFYA AFANYA ZIARA YA KUSHTUK...
BONDIA MAYWEATHER AONYESHA JEURI YA FEDHA ALALIA M...
RAIS WA FIFA, SEPP BLATTER NA RAIS WA UEFA, MICHAE...
TULIPOTOKA WAKATI HUO KWENYE MAWASILIANO
SERIKALI WILAYANI CHUNYA KWA KUSHIRIKIANA NA WADAU...
MOTO WAUNGUZA MAKUMBUSHO MUHIMU JIJINI SAO PAULO, ...
KIGWANGWALLA ATEMBELEA UJENZI WA HOSPITALI YA RUFA...
Malkia wa Kombe la Muungano Tanzania Uhamiaji mwak...
KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI JUMANNE...
MADEREVA WAHIMIZWA KUTOTUMIA KILEVI WANAPOENDESHA ...
MAKALA KUHUSU UGONJWA WA KIPINDUPINDU: Tujilaumu W...
MAZISHI YA DADA WA RAIS MSTAAFU JAKAYA KIKWETE KIJ...
Malkia wa Kombe la Muungano Timu ya Uhamiaji Yaitu...
Hospitali ya ApolloYatoa “Zawadi ya Maisha” kwa Ku...
Walimu waaswa kuwa wazalendo kuwafundisha wanafunz...
WARAGHABISHI WA KIJIJI CHA OLOLOSOKWANI WILAYA YA ...
MKOA WA ARUSHA WANNE KWA KUFAULISHA KITAIFA
HALMASHAURI YAVUNJA NDOA BUBU NA KURUDISHA WANAFUN...
WAZIRI UMMY MWALIMU AVAMIA HOSPITALI YA RUFAA YA B...
MEGATRADE INVESTMENT LTD YA JIJINI ARUSHA YATOA SI...
WASHINDI KAMATI ZA KUDHIBITI UKIMWI PANGANI WAPATA...
WAZIRI MKUU MAJALIWA AWAONYA WATUMISHI WA SERIKALI...
Tanzanite iliyokamatwa KIA yafikia Dola za Marekan...
MAJALIWA AKABIDHI JEZI NA MIPIRA
RAIS DKT. MAGUFULI AKUNATA NA VIONGOZI MBALIMBALI ...
STEVE HARVEY ACHANGANYA MAMBO SHINDANO LA MREMBO W...
HOSPITALI ZAAGIZWA KUTENGENEZA MFUMO WA MALIPO WA ...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE,BALOZI AUGUSTINE MAHIGA ATE...
WAZIRI MKUU MAJALIWA, KASSIM MAJALIWA AHUTUBIA RUA...
MAJALIWA: SINA KINYONGO NA MTU YEYOTE
COSOTA, CMEA KUANZA KULIPA MIRAHABA KWA WANAMUZIKI...
JAMII YETU IKO MIKONONI MWETU
WAZIRI APIGA MARUFUKUWAHANDISI 'UCHWARA' KUPEWA TE...
WAZIRI WA MAMBO YA NJE AKAGUA UJENZI WA MAHAKAMA Y...
WAZIRI KITWANGA AKUTANA NA VIONGOZI WAKUU WA JESHI...
WAZIRI MKUU AONYA KUHUSU CHAKULA CHA MSAADA
WANAFUNZI CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM (UDSM) WAHA...
KOCHA PEP GUARDIOLA ATAONDOKA BAYERN MUNICH MWISHO...
HABARI PICHA-MKUU WA MKOA WA ARUSHA AKITAZAMA KONT...
DIAMOND KUPIGA SHOW YA FUNGA MWAKA DAR LIVE SIKU Y...
FUNDI WA NDEGE AVUTWA NDANI YA INJINI YA NDEGE NA ...
RAIA WANNE WA CHINA WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWA K...
LUGHA YA KISWAHILI YAINGIA KATIKA REKODI YA DUNIA
RAIA WANNE WA CHINA WAHUKUMIWA MIAKA 20 JELA KWA K...
CANADA KUTOA SHILINGI BILIONI 2 ZA KENYA KUSAIDIA ...
RAFIKI WA WANDANDOA WALIOFANYA MASHAMBULIZI SAN BE...
RAFIKI WA WANDANDOA WALIOFANYA MASHAMBULIZI SAN BE...
WANAWAKE MUWSA WAMPONGEZA MKURUGENZI MPYA JOYCE MSIRU
MWANDISHI WA HABARI MAREHEMU DOTO MZAVA AZIKWA KIJ...
WAZIRI WA AFYA ATEMBELEA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMB...
KURASA ZA MAGAZETI YA HARDNEWS NA BURUDANI IJUMAA ...
BOMOA BOMOA YAWAFIKIA WANANCHI WANAOISHI PEMBEZONI...
BANKI YA BARCLAYS WAZINDUA OFISI MPYA JIJINI DAR E...
SHIRIKA LA NDEGE LA ETIHAD LAUNGANA NA COGNIZANT K...
WATANZANIA WANNE WAPATA TUZO ZA UANDISHI WA FASIHI...
UN TANZANIA YAZINDUA RIPOTI YA TEKNOLOJIA NA UBUNI...
KATIBU MKUU MAMBO YA NDANI AFUNGUA KIKAO CHA BARAZ...
MALALA ASEMA KAULI YA DONALD TRUMP INACHOCHEA UGAIDI
SAMUEL ETO'O AMETEULIWA KUWA KOCHA WAMUDA WA TIMU ...
NAIBU WAZIRI WA UJENZI, UCHUKUZI NA MAWASILIANO AT...
MWANAMUZIKI NGULI WA RAP LL COOL J KUSHEREHESHA TU...
MAELFU WAANDAMANA KUMTAKA RAIS JACOB ZUMA AACHIE M...
AMUUA MKE WAKE KISHA YEYE KUJINYONGA MBOZI MBEYA
WAZEE TAFF WAMWOMBA WAKIFAMBA AGOMBEE TENA NAFASI ...
TANZANIA AND U.S. CELEBRATE SIGNIFICANT PROGRESS I...
MHAGAMA: AZITAKA HAMASHAURI ZOTE NCHINI KUTEKELEZA...
WAZIRI KITWANGA AANZA ZIARA ZAKE KWA KUTEMBELEA JE...
Mwili wa marehemu Dotto Mzava wa Jamii Forums wasa...
Wateja wa Airtel kushinda mamilioni ya pesa kupiti...
►
Novemba
(154)
►
Oktoba
(199)
►
Septemba
(168)
►
Agosti
(93)
►
Julai
(141)
►
Juni
(112)
Inaendeshwa na
Blogger
.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni