DK. SHEIN ATEMBELEA ENEO LA MARUHUBI LITAKAPOJENGWA BANDARI KUANZIA MWEZI WA KWANZA MWAKANI

ni1 
Katibu Mkuu wizara ya Miundo Mbinu na Mawasiliano Juma Malik Akili akitoa maelezo kwa waandishi wa Habari wa ZBC kuhusiana na Ujenzi wa Bandari ya Maruhubi ambayo inatarajiwa kujengwa kuanzia Januari mwakani mjini Zanzibar.
ni2 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdallamwinyi Khamis baada ya kuwasili katika eneo la maruhubi ambalo linatarajiwa kujengwa Bandari kuanzia Januari mwakani mjini Zanzibar.
ni3 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wakwanza kushoto akipata maelezo ya ramani ya ujenzi kutoka kwa Injinia Mkuu wa Shirika la Bandari Mbarouk Hamadi Mbarouk katika ziara ya kutembelea eneo ambalo linatarajiwa kujengwa Bandari Maruhubi mjini Zanzibar.
ni4 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein katikati akitembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Badari Maruhubi mjini Zanzibar.
ni5 
Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohd Shein wapili kushoto akipata maelezo kutoka kwa Katibu Mkuu wa Wizara ya miundo mbinu na Mawasiliano Juma Malik Akili wakati alipofanya ziara kutembelea eneo ambalo linatarajiwa kujengwa Bandari Maruhubi mjini Zanzibar.  PICHANA YUSSUF SIMAI -MAELEZO ZANZIBAR.

Hakuna maoni:

Chapisha Maoni