Waziri wa
Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe akizungumza na Waandishi wa
Habari (hawapo pichani) leo tarehe 09/02/2016 katika ukumbi wa
Ngorongoro Makao Makuu ya Wizara hiyo kuzungungumzia tukio la hivi
karibuni (tarehe 29 Januari 2016) la kushambuliwa kwa helkopta ya doria
na kuuawa Rubani Rogers Gowel Raia wa Uingereza. Katikati ni Naibu
Waziri Maliasili na Utalii Eng. Ramo Makani na Katibu Mkuu Wizara hiyo
Maja Gen. Gaudence Milanzi.
Mkutano na Waandishi wa Habari ukiwa unaendelea.
Mkuu wa
Jeshi la Polisi Tanzania, INSPEKTA Jenerali (IGP), Ernest Mangu, kulia
akifafanua moja ya jambo katika Mkutano huo. Kulia ni Waziri wa
Maliasili na Utalii Prof. Jumanne Maghembe.
Baadhi
ya viongozi kutoka Wizara ya Maliasili walioshiriki mkutano huo. Kushoto
ni Mkurugenzi wa Idara ya Wanyamapori Bw. Herman Keraryo.
Waandishi wa habari wakichukua matukio ya mkutano huo na baadhi ya washiriki wakifuatilia.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni