Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akifungua Mkutano wa Wadau wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere
jijini Dar es salaam Februari 9, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimsikiliza Rais wa VICOBA, Devota Likokola
(wapili kulia ) wakati alipotembelea banda la Benki ya Posta Tanzania
katika Mkutano wa Wadau wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi alioufungua
kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha walimu Julius Nyerere jijini
Dar es salaam Februari 9, 2016.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa kaipata maelezo kutoka kwa Bi Fatuma Kango kuhusu
Msimbomilia au Barcode baada ya kufungua Mkutano wa Uwezeshaji Wananchi
Kiuchumi kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Mwalimu Julius
Nyerere jijini Dar es slaam Februari 9, 216.
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiagana na Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya
IPP na Mwenyekiti wa Taasisi ya Sekta Binafisi nchini, Reginald Mengi
baada ya kufungua mkutano wa Wadau wa Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi
kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es
salaam Februari 9, 2016.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni