Mtungi
uliotupu kwa maana ya kwamba mshale wake umerudi kushoto kama unao
kwenye gari lako,ofisini au nyumbani ujue hilo ni kopo tu hautakusaidia
chochote kuzima moto. Sana sana utautumia kuwadanganya askari na
wakaguzi wasiojua tu. Kwa ufupi unajidanganywa wewe mwenyewe.
Mtungi
ulioactive kwaajili ya kuzima moto mshale wake utakuwa kwenye green
(kijani). Ikiwa mshale utakuwa kulia mwa alama ya kijani mtungi huu
umejazwa kupita kiasi na ni hatari.Imeandaliwa na RSA na Dj Sek Blog
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni