Balozi
wa Cuba nchini, Copez Tomo, akizungumza na Waziri wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu alipomtembelea
ofisini kwake jijini Dar es Salaam.
Waziri
wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu
akirekodi mambo muhimu kwenye 'diary' yake wakati wa mazungumzo na
Balozi wa Cuba nchini, Copez Tomo aliyemtembelea ofisini kwake jijini
Dar es Salaam.
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni