Bondia
Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na
Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Maokola anajiandaa na mpambano wake wa
ubingwa atakaozipiga na Joseph Sinkala march 12 katika ukumbi wa Dar
live katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu
Mhamila 'super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini 'upcut' na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'super D' jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala march 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS |
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni