Sehemu
ya Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika hatua ya kutolewa
tabaka ya udongo wa chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama
inavyooenekana katika picha leo jijini Dar es Salaam .
Mafundi
kutoka kampuni ya Ujenzi ya ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya
kutoa udongo wa chini kwa ajili ya kuweka udongo mpya ,ambapo ujnzi
huo unatarajiwa kumalika mapema Mei mwaka huu.
Mafundi
wakijengea bomba la maji eneo la Makumbusho kwa kuliwekea zege na
nondo ili kulihakikishia usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya
Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei mwaka huu.
Afisa
Habari Mkuu kutoka Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS) Bi.Aisha
Malima akipata maelezo kutoka kwa Fundi Mchundo (Civil Technician) wa
Kampuni ya Ujenzi ya ESTIM ,Bw. Kano Warema kuhusu maendeleo ya ujenzi
wa barabara ya Mwenge-Morocco leo jijini Dar es Salaam.
Kipande
cha Barabara ya Mwenge-Morocco kilicho kamilika kwa kiwango cha lami
katika eneo la Mwenge-Bamaga kinavyoonekana katika picha . (Picha na
Lorietha Laurence –Maelezo).
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni